Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, September 17, 2015
Anonymous
LOWASSA Hakamatiki! Apata Mapokezi Makubwa Yakushangaza Jimboni Kwa MAGUFULI, Chato -PICHAZ
Ukitaka kujua Magufuli ni mzigo kwa CCM ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo. Watu hawamtaki Magufuli kila mtu Lowassa na mabadiliko. Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.