Thursday, September 24, 2015

Anonymous

Kweli Watu WAMECHOKA! Baada ya Twaweza Kutoa Utafiti Wao...Wengine Waamua Kuingia Mtaani Kufanya Utafiti kwa Kutumia Box!

Wameona isiwe tabu, twaweza twaweza Kitu gani, bora wapige kura za maoni laivu bila chenga wenyewe, ENL vs JPM. Kariakoo hiyo. Una maoni gani kuhusu hali hii?!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.