Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, September 17, 2015
Anonymous
John MNYIKA Amtetea Vikali DR. SLAA Adai Yaliyotokea ni Kama Samsoni kwa Delila!
Mnyika amemtetea vikali Dr. Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA. Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila. Naomba kuisha hapa.
Note: Only a member of this blog may post a comment.