Tuesday, September 15, 2015

Anonymous

BEN POL na Mtoto Mzuri AVRIL wa Kenya Wanakuja Kihivi..

Ben Pol na muimbaji mrembo wa Kenya, Avril huenda wakaingia ama tayari wameingia studio kurekodi ngoma ya pamoja.
11850297_1687312674817417_1623856535_n
Wawili hao wameshare picha kwenye akaunti zao za Instagram na kuelezea kile kinachowezekana kuwa ni ujio wa collabo yao.
“Throwback hanging out with the talented @iambenpol…we just might have a surprise for you. #255 #254,” ameandika Avril.
Naye Ben ameandika: #throwback with @theavieway #avril ..unaonaje mimi na Avril tukiingia Studio na kuimba wimbo pamoja?, hmm I guess itakuwa wimbo mtamu sana kissing_smiling_eyes, we unaonaje? Maoni mengi yakiwa positive Nitamuomba Avril tufanye.”
Sio mara ya kwanza kwa Avril kufanya collabo na wasanii wa Tanzania. Amewahi kufanya wimbo na AY na Ommy Dimpoz.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.