Mfalme wa R&B duniani Robert “R.Kelly” Kelly ana kitabu
(autobiography) kinachoelezea safari ya maisha yake kutoka kwenye
umasikini hadi kuwa maarufu. Kitabu hicho kinaitwa ‘Soulacoaster: The
Diary Of Me’.
R.Kelly aliki-dedicate kitabu hicho chenye kurasa 392 kwa watu wawili
muhimu katika maisha yake ambao ni mama yake mzazi aliyefariki miaka ya
90, pamoja na mwalimu wake wa muziki wa high school, Lena McLin.
Katika kitabu hicho ambacho kilitoka June 28, 2012, R.Kelly pia
aligusia project ya One 8 ambayo ilimkutanisha na wasanii 8 kutoka nchi 8
za Afrika akiwemo Alikiba aliyeiwakilisha Tanzania. Wengine ni Amani
(Kenya), Navio (Uganda), 2face Idibia (Nigeria), Fally Ipupa (Congo), JK
(Zambia), 4X4 (Ghana), na Movaizhaleine (Gabon).
Hii ndio sehemu ambayo amezungumzia project ya One 8 katika kitabu hicho ambayo alimtaja na Alikiba:

Note: Only a member of this blog may post a comment.