Monday, September 7, 2015

Anonymous

30 PICHAZ: Tazama Muonekano wa Rock City Shopping Mall ya Mwanza a.k.a Mlimani City Yao!



Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote na hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Mwanza kuhusiana na ule ujenzi wa Mall inayoitwa Rock City Shopping Mall aka Mlimani City yao.
Sasa good news ni kwamba wakati wowote inatarajiwa kuanza kufanya kazi kwenye jiji hilo, ripota wa millardayo.com amefanikiwa kuzipata hizi picha 30 za muonekano wa Mall hiyo kwa ndani na nje.



Mlango wa kuingilia kwenye Mlimani City yao Rock City







Mtu wangu yaani pia wana lift zinazotumia Umeme.


Naambiwa haya mawe ni kama utambulisho wa jiji la Mwanza ambayo wameamua kuyaweka katika mlimani City yao.



Watu wangu mnaomiliki magari hii ndio sehemu ya Parking.



Naambiwa hizi lift mbili zitakuwa zinatumika kubebea mizigo au bidhaa mbalimbali.



Naaimbiwa hii ni sehemu itakayohusika na michezo mbalimbali ya watoto.


Mtu wangu ukiwa kwa juu kwenye Mlimani City yao kama unavyoona mbele unaonekana uwanja wa CCM Kirumba.

Watu wangu mtakaokuja kununua bidhaa mbalimbali basi hii ndio parking ya nguvu.


.



Hii ni camera ilivunjwa kwa nje ili kuhakikisha kuangalia kila kitu kinachoendelea kwenye Mlimani City yao.
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.