Monday, August 10, 2015

Anonymous

Yapo hapa mengine ya WEMA SEPETU kuhusu MAGUFULI na LOWASSA...

wemmmmm
Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.
wemaaaa
Kwenye post yake ameipa maneno haya >> ‘Wamoja havai Mbili…… Alafu nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal… Kama unashindwa then badili tu jina… Dont use my name kumpost Lowassa …. Jamani I'am Not Team Lowassa…. Thank u… CCM tu hapa… TeamMagufuli to death … Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa… Sidanganyiki… UKAWA mtaenda msojielewa….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.