Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, August 21, 2015
Anonymous
VIDEO: Maneno ya IRENE UWOYA kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.
Irene Uwoyani
mwigizaji kutoka bongomovie Tanzania na amekua miongoni mwa Wanawake
watano wanaotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza Tanzania, mwaka huu
2015 ameingia kwa mara ya kwanza kwenye siasa na kupita kwenye Ubunge wa
viti maalum,bonyeza play umtazame kwenye hii video hapa chini.
Note: Only a member of this blog may post a comment.