Friday, August 21, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia LOWASSA Alivyorudisha Fomu Ya URAIS Hivi Punde Tu!


Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia).
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya Uchaguzi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.