Sunday, August 2, 2015

Anonymous

VIDEO: JOSE MOURINHO HASIRA AU DHARAU?! SHUHUDIA ALICHOKIFANYA BAADA YA REKODI YAKE "KUKATWA" LEO

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya klabu ya Arsenal mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Wembley Uingereza, Mourinho aliyeingia uwanjani akiwa na rekodi nzuri dhidi ya kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwani timu zao zimewahi kukutana mara 12 kabla ya mechi ya August 2 na rekodi inaonyesha Wenger hajawahi kumfunga Mourinho hata mara moja.
Jose-595416
Mourinho kama kawaida yake kaingia kwenye headlines tena baada ya kuwapongeza wachezaji wa Arsenal wakati wanashuka kutoka kuchukua medali ila wakapishana na Wenger kitu kinachofanya watu wajiulize maswali hawapatani? baada ya hapo Mourinho wakati anatoka Uwanjani kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo aliirusha medali yake kwa mashabiki sasa haijulikani ni hasira au kaamua tu.
mourinho
Nimekusogezea karibu yako video ya kilichotokea.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.