Muigizaji kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh.
Lagos ,NIgeria
MUIGIZAJI kiwango kutoka Nigeria, Tonto Dikeh ameolewa rasmi na aliyekuwa mpenzi wake, Churchill Olakunle Oladunni wiki iliyopita.Taarifa za kuolewa zilianza kuzagaa mapema wiki iliyopita baada ya staa huyo kubadili jina lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kujiita, Mrs Tonto Wigo Dikeh-Churchill.

Tayari inadaiwa kuwa Tonto ni mjamzito na bibi yake huyo ameonekana
kuumia zaidi baada ya kudai kuwa anamuacha peke yake kwani alizoea
kuishi naye lakini amemtakia maisha mema na mumewe huyo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.