Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho mjini Shinyanga katibu wa CCM mkoa wa Shinyanga Alhaji Saad Kisilawe alisema wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania nafasi ya Ubunge ni 46 kwa mkoa.Amesema Matokeo ya kura za maoni uliofanyika jana ni kama ifuatavyo:
A.Jimbo la Shinyanga mjini
Jina na Kura alizopata
9.Tara Omary alipata-43
8.Willy Mzava-65
7.Khatibu Kazungu -69.
6.Mussa Jonas Ngangana -116.
5.Hassan Fatihu -164.
4.Erasto Kwilasa -232.
3.Abdalhah Seni-391
2.Charles Mlingwa kura 669
1.Stephen Masele kura 7900.
B.Jimbo la Kahama Mjini
14.Masanja Andrew -48
13.Machunde Eliakimu -56
12.Mpagama Deogratius -57.
11.Tunge John -78.
10.Malele Charles -91.
9.Luhende Gerald -106
8.Adamu Ngalawa -126.
7.Kapera Robert -135
6.Sazia Deogratius -257
5.Kambarage Masusu -28
4.Bundalah Marco -284.
3.Kintoki Godwin -433
2.Nkuba Charles -1301.
1.Jumanne Kishimba -9754.
C.Jimbo la Ushetu
3.Elfaid Mlyasi -207
2. Isaya Bukikiya -5241
1.Elius Kwandikwa 11,550.
D.Jimbo la Msalala .
7.Wankia Welema -14
6.John Rufunga -294
5.Maganza Mashalla -597.
4.Nicholaus Mabula -668
3.John Sukiri- 962
2.Emanuel Kipore- 1197
1.Ezekiel Maige 11,575.
E.Jimbo la Solwa
Kata moja ya Samuye matokeo yake yalikuwa bado ikiwa matokeo ya awali yalikuwa ni-
7.Hosea Somi-255.
6.Renatus Chokara -357.
5.Kasile Paul - 361.
4.Luhende Richard -1273.
3.Cprian Mhoja -1586
2. Amosy Mshandete kura 2228.
1.Ahmed Salum 17,485.
F-Jimbo la Kishapu
Jimbo hilo lina kata 25 bado kata nane hazijawasilisha matokeo ila kwa matokeo ya awali
6.Thimoth Ndanya kura 193
5.Heke Bulugu-356
4.Limbe Moris -393.
3. Kishiwa Kapare -500.
2.Bonda Willium Nkinga - 6143.
1.Suleimani Nchambi 17,485.

Note: Only a member of this blog may post a comment.