Saturday, August 1, 2015

Anonymous

Steve NYERERE: Nitakuwa mbunge ombaomba!

Steve-NyerereMchekeshaji maarufu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Brighton Masalu
MCHEKESHAJI maarufu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema atakuwa mbunge ombaomba kwa wadau, serikali na mashirika binafsi katika kutatua matatizo mbalimbali ya Jimbo la Kinondoni. 

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema ana uzoefu wa kuomba, hivyo hataona haya kutumia kipaji chake cha kushawishi katika kuomba mafanikio na anaamini yeye ni jibu sahihi kwa wananchi wa Kinondoni.
“Mimi nina ushawishi mkubwa sana, hivyo nitatumia kipaji hicho kuishawishi serikali, wadau na mashirika ya umma kuomba misaada mingi, hakika nitakuwa mbunge ombaomba,” alisema Nyerere.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.