Kiungo mshambuliaji wa Tottenham, Christian Eriksen kulia, akimiliki mpira mbele ya beki wa Manchester United, Matteo Darmian.
Beki wa Tottenham, Kyle Walker akitumbukiza bao kimiani katika harakati za kuokoa Tottehnam walifungwa bao 1-0.
Raha ya ushindi. Wayne Rooney akifurahia bao na Mephis baada ya Manchester United kupata bao dhidi ya Tottenham.
Wachezaji wa Manchester United, kutoka kulia Juan Mata, Wayne Rooney
na Mephis Dempay wakipongezana baada ya kupata bao dhidi ya
Tottehnam kwenye mchezo wa Ligi Kuu England iliyoanza kutimua vumbi leo.
Man United ilishinda bao 1-0 lilifungwa na beki wa Totthenham, Kyle
Walker aliyejifunga.
Kiungo mpya wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger kulia,
akimpongeza Maichael Carrick wakati akiingia kuichezea klabu hiyo mchezo
wake wa kwanza wa Ligi Kuu England. Schweinsteiger ndiye mchezaji wa
kwanza Mjerumani kuichezea Man United.
Straika wa Manchester United, Wayne Rooney kulia akifumua moja ya
mashuti kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England dhidi ya
Tottenham. Man United ilishinda bao 1-0.
Kiungo mpya wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger ndiye
mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United. Nyota huyo ametua
klabuni hapo akitokea Bayern Munich ya Ujerumani.
MABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu England,
Manchester United leo wameanza kampeni ya kusaka ubingwa wa ligi
kuu nchini huumo kwa kuikalisha Tottehnam Hotspur bao 1-0, mchezo
uliopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford majira ya saa 8:45.
Bao pekee lilifungwa na beki wa Totteham, Kyle Walker ambaye
alijikuta akizamisha mpira wavuni katika harakati za kutaka kuokoa
hatarini langoni mwao mbele ya Wayne Rooney ambaye alikuwa anajiandaa
kuachia shuti.
Manchester United: Romero, Darmian (Valencia 80), Smalling, Blind,
Shaw, Schneiderlin, Carrick (Schweinsteiger 59), Young, Mata, Rooney,
Depay (Herrera 67)
Subs not used: Hernandez, McNair, Andreas Pereira, Johnstone
Subs not used: Hernandez, McNair, Andreas Pereira, Johnstone
Booked: Schweinsteiger, Mata
Goals: Walker (own goal) 21
Tottenham Hotspur: Vorm, Walker, Alderweireld, Vertonghen, Davies,
Dier (Alli 76), Bentaleb (Mason 52), Chadli, Eriksen, Dembele (Lamela
69), Kane
Subs not used: Lloris, Trippier, Wimmer, Carroll
Booked: Vertonghen, Dier, Alli
Referee: Jon Moss
Subs not used: Lloris, Trippier, Wimmer, Carroll
Booked: Vertonghen, Dier, Alli
Referee: Jon Moss

Note: Only a member of this blog may post a comment.