Tuesday, August 25, 2015

Anonymous

Prof. Mark James MWANDOSYA Amuonya MKAPA Kwa Maneno Yake. Anena Yafuatayo

Katika kipindi hiki muhimu, kama Taifa, inatupasa tuzingatie: kuvumiliana, kuheshimiana, kukubaliana, kukubali kutokubaliana, kushindana kwa hoja, na kutumia lugha yenye staha. Msaafu Mtakatifu unatukumbusha "....Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao huvuna majivuno makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana....."Msaafu Mtakatifu unatuonya pia "...kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa...".-Prof. Mark James Mwandosya

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.