Monday, August 24, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia ALIKIBA Alivyofunika kwenye sherehe za utamaduni wa MOMBASA usiku wa jana…

IMG_3699
Usiku wa jana Ali Kiba alikua katika jiji la Mombasa kwenye sherehe za utamaduni wa Mombasa zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mama Ngina.
Sherehe hizo zilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali.
Nimekua pichaz za Ali Kiba na Abdu Kiba walivyoweza kunogesha sherehe hizo.
IMG_3498 (1)
IMG_3641
IMG_3699
IMG_3773 (1)
IMG_3766 (1)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.