
Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu, Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda. Nimekuwekea hapa picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu.
Wadau wa Chadema wakiwa katika Mkutano Wa Chadema
Moja ya Matukio katika Mkutano huo

Note: Only a member of this blog may post a comment.