Friday, August 14, 2015

Anonymous

Mheshimiwa IRENE UWOYA Apitishwa na CCM Kuwa Mbunge Viti Maalum Kupitia Tabora

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.

Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.
Hongera sana Uwoya.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.