Monday, August 24, 2015

Anonymous

MH. LOWASSA AZUA KIZAA ZAA NDANI YA DALADALA AKIELEKEA GONGO LA MBOTO KUWASIKILIZA WANANCHI KERO ZAO -PICHAZ


Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa akiwa kwenye daladala asubuhi hii kuangalia kero za wananchi maeneo ya Gongo la Mboto kuelekea Chanika.
Una maoni gani juu ya hatua hii ya kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa hivi sasa nchini!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.