MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Jimbo la Kigoma Kusini, Hasna Sudi Mwilima, amewekewa pingamizi na mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila.
Mgombea huyo amewekewa pingamizi hilo kwa kushindwa kujaza fomu kwa kufanya makosa matatu ya kisheria. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari:
Kufuatia mkanganyiko huo David Kafulila jana jioni aliweka pingamizi dhidi ya mgombea huyo na kudai kuwa anapswa kuenguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Mgombea huyo amewekewa pingamizi hilo kwa kushindwa kujaza fomu kwa kufanya makosa matatu ya kisheria. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari:
- Kosa namba moja kwenye fomu 8B ametumia majina matatu tofauti: HASNA SUDI KATUNDA MWILIMA, HASNA MWILIMA na HASNA S. K. MWILIMA.
- Aidha kosa namba mbili kwenye tamko la wadhamini imeandikwa amedhaminiwa kuteuliwa tarehe 25.10.2015 badala ya tarehe 21.8.2015.
Kufuatia mkanganyiko huo David Kafulila jana jioni aliweka pingamizi dhidi ya mgombea huyo na kudai kuwa anapswa kuenguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Note: Only a member of this blog may post a comment.