Monday, August 24, 2015

Anonymous

MASKINI BATULI! NYUMBA YAKE YATEKETEA KWA MOTO AKIWA KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JANA!

Staa wa Bongo movie Batuli, leo amepatwa na ajali ya kuungulia nyumba yake kwa moto wakati akiwa kwenye miangaiko yake ya kila siku katika uzinduzi wa kampeni uliyofanyika Jana Jangwani Dar es salaam. 

Watu wengine wamehusisha swala hili na mambo ya chuki za kisiasa lakini me namshukuru Mungu hakuna aliyepoteza maisha wa kujeruhiwa katika ajali hii, ndani kulikuwa na mtoto wa ndugu yangu lakini jirani walivunja vioo na kumnusu lakini mali hakuna nilichookoa zaidi ya magari yangu tu"
Aliongezea kwakusema kwa sasa yupo kwenye kikao kwa ajili ya mipango ya kupata makazi mengine hapo kesho panapo majariwa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.