Saturday, August 29, 2015

Anonymous

Maneno ya ZITTO KABWE kwa waandishi wa Habari LEO kabla ya uzinduzi wa kampeni J2

tooo
Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni zao.
Ufunguzi wa kampeni hizo utakaofanyika Agosti 30 katika viwanja vya Zakheem, Mbagala ambapo watamtambulisha Mgombea wao wa Urais.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.