Monday, August 10, 2015

Anonymous

Jeshi la Polisi Dar Lakanusha Kuzuia Maandamano ya LOWASSA

4.jpg
Lowassa akiwa Makao Makuu ya CUF jana.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekanusha taarifa za kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema kuwa maandamano wanayoyatambua ni yanayoanzia Makao Makuu ya Chadema kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini ya kutoka NEC kwenda Makao Makuu ya Chama Cha Wananchi (CUF), Buguruni hawayatambui.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.