HekaHeka ya leo inamuhusu kijana Abbas ambaye alishawahi kusikika kwenye Hekaheka ya nyuma ya kijana aliyeamua kuachana na mke wake wa kwanza na kuoa mwingine.
Kuachana kwao kunatokana na kupata taarifa kwamba mke wake huyo ana watoto wanne na ni mke wa mtu, ikafikia hatua ya ndoa kuvunjika na kila mmoja kuendelea na na mambo yake.
Ijumaa iliyopita kijana Abbas aliafunga ndoa na mwanamke mwingine ambaye alitafutiwa na familia yake..mwenyewe Abbas amesema anawashukuru wazazi wake kwa kufanikiwa kumpatia mke ambaye yeye anamini atakua mwema kwake na atamfaa katika maisha yake.
Ndugu wa mume huyo wamesema wamefarijika sana kuona kijana wao anampata mtu ambaye ndio chagua lake baada ya wa kwanza kuonekana hakuwa sahihi na si mwaminifu.
Wasikilize hapa wakizungumza kwenye HekaHeka ya leo…

Note: Only a member of this blog may post a comment.