Ligi Kuu Uingereza inatajwa kuwa
miongoni mwa Ligi maarufu zaidi Duniani hii inatokana kuwa na mashabiki
kutoka sehemu mbalimbali Dunian, hata katika historia ya uuzaji
wachezaji Ligi Kuu Uingereza bado inaongoza kwa wachezaji kutoka Ligi
hiyo kuingia katika Ligi za nchi nyingine huwa wanauzwa kwa gharama.
August 14 nimeona nikusogezee List ya
wachezaji ghali zaidi katika histori ya Ligi Kuu Uingereza. Ila list hii
inaonyesha thamani ya bei aliyonunuliwa kipindi hicho na kulinganishwa
na thamani ya pound ya sasa ingekuwa kiasi gani. Pound milioni 15 ya
mwaka 1996 inathamani zaidi kuliko ya sasa.

Note: Only a member of this blog may post a comment.