It is very sad wanachofanya kwa makongoro.
..wamemkata kwenye uraisi. Kwenye ubunge pia wamemkata.
..lakini wanajua udhaifu wa makongoro kuwa ni mtu wa kuropoka-ropoka.
..sasa wameamua kumtumia kuporomosha matusi ktk kampeni hizi.
..inasikitisha sana kwamba mtoto wa baba wa taifa, mtu ambaye taifa hili
linamheshimu, ndiyo nawekwa mstari wa mbele kuporomosha matusi na
kejeli ktk kampeni zetu.
..kwa kweli huu si uungwana. Sidhani kama familia ya Baba wa Taifa
inastahili udhalilishaji huu.
By Joka Kuu
By Joka Kuu


Note: Only a member of this blog may post a comment.