Katika kile kinachoonekana hali mbaya ndani ya Chama kuelekea Uchaguzi
Mkuu hapo Oktoba, Kamati Kuu ya CCM inakutana Mjini Dodoma chini ya
Uongozi wa Mwenyekiti Jakaya Kikwete.
Ripoti za ndani zinadai ajenda kuu ni Kuzuia Kasi ya Edward Lowassa ambae anaonekana kuwatesa kila uchao.
Tutaendelea kujuzana yanayojiri huko, Usicheze mbali.
Ripoti za ndani zinadai ajenda kuu ni Kuzuia Kasi ya Edward Lowassa ambae anaonekana kuwatesa kila uchao.
Tutaendelea kujuzana yanayojiri huko, Usicheze mbali.

Note: Only a member of this blog may post a comment.