Saturday, August 15, 2015

Anonymous

Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo, yeye na watu wake wa CHADEMA… (PICHAZ)

Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha.

Mkutano unaendelea katika Viwanja vya Tindinagi, Arusha na hizi ni pichaz ambazo ripota wa millardayo.com amenisogezea kilichoendelea toka asubuhi wakati watu wanaanza kusogea kwenye Viwanja hivyo.





Watu wa Usalama kwenye kazi yao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.


Picha ya juu kabisa, watu wa Arusha walivyokuwa wakimsubiria Lowassa Viwanja vya Tindigani.


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.