Friday, August 7, 2015

Anonymous

Baada ya Kutaja Orodha Ndefu ya Wanaume Mastaa Aliobanjuka Nao...LUCY Ampa za Uso BOZI wa Bongo Movie!

lucy kombaStaa wa filamu Bongo, Lucy Komba.
Mayasa Maliwata
STAA wa filamu Bongo, Lucy Komba ameamua kumpa makavu laivu msanii asiyeishiwa vioja, Fatuma Ayubu `Bozi’ anayetajwa kuwa na orodha kubwa ya mastaa aliobanjuka nao kwa kumtaka akumbuke kutumia kinga ama kutulia na bwana mmoja.
boziBozi
Akibonga na paparazi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini Denmark, Lucy alisema anamshangaa sana msanii huyo kutokana na tabia yake ya kupenda kubanjuka ovyo na wasanii wenzake bila kujua kuwa ulimwengu wa sasa umeoza.
 “Siyo siri huyu msanii ananikera sana isitoshe anatudhalilisha, sioni faida yoyote anayoipata zaidi ya kuhatarisha maisha yake, ni vyema angetulia na mmoja na kama hawezi basi kiukweli akumbuke kutumia kinga laa sivyo yatamkuta makubwa,” alisema Lucy.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.