Tuesday, August 11, 2015

Anonymous

AY aungana na Diamond na Alikiba katika hatua hii!

Hatimaye akaunti ya Facebook ya rapper Ambwene Yessayah aka AY imekuwa verified.
AY
Tayari kitick cha blue cha kuonesha kuwa ni akaunti halali kinaonekana kwenye akaunti ya muimbaji huyo wa Zigo.
AY anaungana na Diamond Platnumz na Alikiba ambao nao akaunti zako zimepewa kitick cha blue. Mastaa wengine wa Tanzania wenye akaunti z aina hiyo ni Flaviana Matata, Salim Kikeke na January Makamba.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.