Thursday, July 2, 2015

Anonymous

ZITTO KABWE Atamba 'ACT Lazima Tushinde Majimbo yote 8 ya Kigoma'

Akizungumza na clouds TV, bwana Zito amesema Kigoma ndio base ya ACT hivyo ni lazima washinde majimbo yote ya Kigoma na kwamba yeyote anayetaka kushinda jimbo Kigoma lazima apitie ACT. Yeye binafsi anagombea Kigoma mjini kumtoa Serukamba. Amesema Lowasa hawezi kujiunga na ACT anaipenda sana CCM na pia ACT haitaki mtu anayechanganya biashara na siasa.
Source: Clouds Tv

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.