Tuesday, July 28, 2015

Anonymous

TETESI: Rais Kikwete Apigiwa Simu Ya Dharura Arejee Ofisini

CCM walipoambiwa hawawezi kuzuia mafuriko kwa mkono walidharau,Sasa manyunyu yameanza wanaanza kukimbia ovyo ovyo.
Ni vema kama ni watu majasiri wasubiri mafuriko kamili na ndipo tuone wanakabiliana nayo vipi.
Taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa Lumumba hapakaliki tena,Kila mtu anamtupia lawama mwenzake,JK nasikia kapigiwa simu ya dharura arejee kuokoa jahazi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.