Monday, July 20, 2015

Anonymous

STEVE NYERERE, WASTARA JUMA ‘DAMDAM’

Komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Gabriel Ng’osha
Kivipi? Taarifa ikufikie kuwa komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa yeye na staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ni damdam. 

Steve alisema hayo wikiendi iliyopita wakati akichukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kinondoni, Dar kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Mimi na Wastara ni damdam katika kuhakikisha tunashinda kinyang’anyiro cha ubunge hapo Oktoba. Mimi nagombea Jimbo la Kinondoni na mwenzangu anawania viti maalum Morogoro,” alisema Steve.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.