Sunday, July 19, 2015

Anonymous

SHILOLE KIUNO na Nuhu Mziwanda Waachana Rasmi..Shilole Abwatuka Haya Mnaeno Kuntu!

Upande wa Pili huko kwa Kina Shilole na Nuhu Mzwanda Mambo si Shwari Jana Usiku wakati wengine tuko busy na Tuzo za MTV ..Mwanana Shilole Alipost Ujumbe Huu Ukiashiria yeye na Nuhu Mziwanda Mapenzi Basi Tena.....

Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.