Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido Wameibuka Videdea Baada ya Wote
Kushinda Tuzo Moja Moja Katika Categories Tofauti ....Mashabiki wengi
Africa Macho yalikuwa kwa hawa watu wawili kuona yupi atachukua tuzo
nyingi zaidi..lakini wote wamepata tuzo moja moja ...Diamond Amepata ya
Mtumbuizaji Bora Africa Wakati Davido Amepata ya Mwimbaji Bora wa Kiume
Africa...
Hongera Sana Kwao....
Hongera Sana Kwao....


Note: Only a member of this blog may post a comment.