Katikati ya Mwezi June 2015 Maisha Club ya Masaki Dar es Salaam ilifungwa, lakini hii ilikuwa mwanzo wa kupata exclusive stories kuhusu kule inakohamia !!
Tukaona pichaz na video na chimbo jipya la Club hiyo pale maeneo ya Makumbusho Dar… kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na tukaambiwa jina itaitwa Maisha Basement.
Mzigo umekamilika na wiki hii tayari wapo walioingia ndani kuenjoy na watu wao wa nguvu ndani ya chimbo hilo la chinichini, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda walialikwa kwa ajili ya kufanya ufunguzi rasmi.
Cheki pichaz ilivyokuwa jana usiku Maisha Basement.
Mabinti warembo waliokuwa wakihudumia ndani ya Club
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiwa na mmiliki wa Club wakati wa ufunguzi
DJ’s wa nguvu kwenye kazi yao ndani ya chimbo la Maisha Basement.
DC Paul Makonda na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda
\Shampeni zikafunguliwa pia kuashiria kwamba mambo yameanza.
Mmiliki wa Maisha Basement, DC Makonda, Meya Mwenda na Meneja wa Maissa Basement, HK.
Wengi walitamani kushuhudia uzinduzi huu, watu wa nguvu na shangwe zao.

Note: Only a member of this blog may post a comment.