RAPA Drake wa Marekani majuzi amefyatua remix yake katika wimbo wa ‘Ojuelegba’ wa mwimbaji Wizkid wa Nigeria.
Remix
hiyo ambayo ilitumika katika onyesho lake la OVO Sound Radio, na ambayo
imemjumuisha rapa wa Uingereza aitwaye Skepta, hivi sasa inatamba
vilivyo katika anga za Intaneti.
Hatua hiyo imewafanya nyota wengi wa muziki nchini Nigeria kumpongeza Wizkid kwa kuzidi kujiimarisha kimataifa.
Mwanamuziki Dbanja Kokomaster aliandika katika mtandao wake kwamba: "Very proud of u lil bro @wizkidayo Repping Africa with genuinue orginality ...up you shall always go. Blessings...Ooooossssheee"

Note: Only a member of this blog may post a comment.