New York, Marekani
KYLIE Jenner wala humuambii kitu kwa Tyga na hata baada ya hivi karibuni kuzagaa kwa picha zilizomuonyesha Tyga akiwa kwenye mahaba mazito na msanii wa filamu za utupu, Mia Isabella, ndiyo kwanza mrembo Kylie amezidi kumganda mwandani wake huyo.
Mapema wiki iliyopita zilizagaa picha zinazodaiwa kuwa ni Tyga akifanya mapenzi na Mia huku sura zao zikiwa hazionekani.Kylie, 17, ambaye ni mwanamitindo na mtangazaji, ameonekana kuzifutilia mbali tetesi hizo kuwa mpenzi wake anatoka na Mia.
“Kylie wala haamini kuwa Tyga ana uhusiano na Mia. Haamini kama anaweza kumdanganya. Anamuamini sana na amepanga wafungue akaunti ya pamoja mara atakapofikisha miaka 18,” kilisema chanzo cha karibu na mwanadada huyo mrembo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.