Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Torino, Matteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mchezaji huyo ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia
mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa
miaka minne Old Trafford.
Kocha wa Man Luis Van Gaal amefurahishwa na ujio wa mchezaji huyo huku mwenyewe akisema ilikuwa ni ndoto yake kuichezea United.

Note: Only a member of this blog may post a comment.