Ni wanaume wachache wanaoweza kuwaruhusu wake zao kupost picha kwenye akaunti zao za Instagram zinazowaonesha wakiwa utupu!
Lakini inaonekana kama hii ni wiki ya wanaume kuonesha makalio yao kwenye mtandao huo.
Picha hii aliyopost Justin Bieber kwenye Instagram hadi sasa ina comments 657,047 na likes 2,118,557
Ikiwa ni siku moja tu baada ya Justin Bieber kupost picha Instagram
akiwa mtupu (hiyo juu) Chrissy Teigen ametumia mtandao huo kupost picha
ya mume wake John Legend inayoonesha makalio yake.
Kuonesha kuwa John Legend hana tatizo na picha hiyo, wawili hao wameonekana wakila bata mjini Florence, Italia.

Note: Only a member of this blog may post a comment.