Thursday, July 2, 2015

Anonymous

MAJINA NA PICHA ZA WENYEVITI 15 WA CCM MIKOA WALIOJITOKEZA JANA KUMSINDIKIZA DODOMA MGOMBEA WAO WA URAIS KURUDISHA FOMU!

MAJINA:- Mzee Ndejembi, Kingunge Ngombale Mwiru, Mwenyekiti Msukuma (Geita) Mwenyekiti Bwarafia Silima (Unguja) Mwenyekiti Jesca Msambatavangu (Iringa) Mwenyekiti Madabida Madabida (Dar es Salaam), Mwenyekiti Hamisi Mgeja (Shinyanga), Mwenyekiti Msindai (Singida), Mwenyekiti Odo (Ruvuma), Mwenyekiti Sinani (Mtwara), Mwenyekiti Sanya (Mara), Mwenyekiti Mlao (Pwani), Mwenyekiti Kabouru (Kigoma) na Wenyeviti 3 (Pemba na Unguja). Wabunge 84 walikuwepo.


Mzee Ndejembi Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa CCM wa Wenyeviti wote wa Mikoa Tanzania.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.