Yale mabishano kati ya Shilole na Nuh Mziwanda kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kumbe ilikua kwa ajili ya wimbo wao mpya?.
Mabishano kati yao yalitafsiri na wengi kama wamegombana, lakini kumbe walikua wakijiandaa kuachia ngoma yao mpya inayoitwa ‘Ganda la Ndizi’.
Ngoma hiyo imesimamiwa na mtayarishaji Mr.T Touch.
Wasikilize hapa mtu wangu…

Note: Only a member of this blog may post a comment.