July 23 2015 zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia Rais Obama akitua
Kenya, mambo yanazidi kunoga… yani unaambiwa kila unapokatisha mitaa ya
Nairobi lazima utagundua vitu tofauti tofauti hivi vinavyoashiria kuwa
kuna ugeni very soon !!
Kila mahali ambapo Obama anaenda huwa ana usafiri wa ndege yake ya Air Force One, na hata gari yake pia ambayo inaitwa ‘Cadillac One, Limo One au The Beast‘

Ndege ya Rais Obama, Air Force One.
Zimenifikia hizi pichaz zikionesha gari za msafara wa Obama ikiwemo Limo One aka Cardillac One zikikatisha mitaa ya Nairobi.
Ndege ya Rais Obama, Air Force One.
Zimenifikia hizi pichaz zikionesha gari za msafara wa Obama ikiwemo Limo One aka Cardillac One zikikatisha mitaa ya Nairobi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.