Wednesday, July 8, 2015

Anonymous

KUTANA NA MWANAMKE TAJIRI ANAYEVAA KAWAIDA! -PICHAZ


Lupita Nyongo mwenye wasifu mkubwa na fedha zinazotokana na uchezaji filamu,12 years of slave sinema iliyompa heshima kubwa duniani mwaka 2013 na kumpa tuzo ya Oscar, Academy year na best supporting actress. Elimu yake ana shahada mbili. Uraia wake wa kuzaliwa Mexico na kukulia Kenya. Pamoja na hayo yote uvaaji wake ni nadhifu na kawaida ukilinganisha na fedha anayomiliki.
Mastaa wa bongo mpo hapo?!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.