Saturday, July 11, 2015

Anonymous

KUMEKUCHA! WAJUMBE HAWA WATATU WA KAMATI KUU WAPINGA MATOKEO YA TANO 5 BORA CCM


Dk.Emmanuel Nchimbi
5BORACCM‬: Wajumbe watatu wa kamati kuu CCM,Dk.Emmanuel Nchimbi,Sofia Simba na Adam Kimbisa wamesema kwamba hawakubaliani na uamuzi wa kikao cha kamati hiyo.
Taarifa kamili na updates zaidi (kandiliyetu.com ipo kwa ajili yako) toka Dodoma endelea kufuatilia hapa!
SOURCE: ITV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.