
Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni:
1) Bernard Membe
2) John Magufuli
3) Asha Rose Migiro
4) January Makamba
5) Amina S. Ali.
Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi.
Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni… pic.twitter.com/tfx47nUWR1
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 10, 2015
Je, una maoni gani kuhusu tano bora hii?! Na je, ungependa tatu bora waingie kina nani kati hawa?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali ENDELEA KUFUATILIA HAPA MDAU HATUA KWA HATUA MPAKA KIELEWEKE!

Note: Only a member of this blog may post a comment.