
Jerry Muro akichuku fomu ya ubunge jimbo la Kawe kupitia chama cha mapinduzi CCM
Hii ndio CCM! Una maoni gani juu ya mgombea huyu?!
Unadhani atapita kura za maoni?!
Na kama akipita ataweza kumuangusha Halima Mdee wa CHADEMA?!
Funguka hapo chini kwa comment box mdau!

Note: Only a member of this blog may post a comment.