Thursday, July 30, 2015

Anonymous

Je, Aliyepigwa na Naibu Spika JOB NDUGAI Amefariki?! Ukweli Upo Hapa...

Kufuatia taarifa zilizo zagaa mtandaoni zikiripoti kifo cha kada wa CCM aliyeripotiwa kupigwa na aliyekuwa naibu spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Job Ndugai.
Mtandao huu wa www.KandiliYetu.com umewasiliana na daktari wa hospitali ya kongwa Dr. Festo na amethibitisha ya kuwa mgonjwa yupo hai na anaendelea na matibabu kama kawaida.
Taarifa za kufikwa na umauti kwa mgonjwa huyo si zakweli, aliongeza daktari huyo.

Mgojwa akiwa Hospitalini akiendelea na Matibabu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.