Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, July 15, 2015
Anonymous
JAMBAZI BAADA YA KUTOROKA JELA ALA BATA NA ''KUJISIFIA NIKAMATENI KAMA MNAWEZA'' -PICHAZ
El Chapo muuza madawa nguli baada ya kutoroka jela Jumamosi asema FBI nikamateni kama mnaweza. Akiwa uraiani anabarizi na helikopta. Akiwa na familia yake ankunywa bia hana habari. Shimo alilotumia kutoroka na kutembea kwenye bomba mwendo wa kilomita moja na nusu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.