Sunday, July 19, 2015

Anonymous

INASIKITISHA SANA! Mama Afungwa Maisha Kwa Kuua Watoto Wake Wawili na Kuwaweka Kwenye Freezer kwa Miaka Kadhaa!

Mama amefungwa maisha Marekani kwasababu ya kuua watoto wake wawili na kuwaweka kwenye freezer kwa miaka kadhaa.
Kisa cha kuwaua watoto wake ni kwamba watoto hao ambao ni wakubwa walikuwa wakiwabaka na kuwalawiti wadogo zao wawili. Kwa hasira akawaua na kuwaficha humo kwenye freezer. .

Ni mambo ya aibu sana hata kuyazungumzia tunaishi kwenye dunia iliyochanganyikiwa sasahivi...mama kuua watoto wake...watoto kuwabaka wadogo zao.... .
Hivi karibuni huyo mama aliulizwa je watoto wangekuwa hai leo je angefanya kitendo kama alichofanya? Akasema ndiyo bado angewaua... Inasikitisha!!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.